Kwa anayehitaji Lift (elevator) kwa ajili ya jengo lake

stanleyRuta

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
851
Reaction score
529
Habari wandugu,

Mwenye uhitaji wa lift kwa ajili ya jengo lake tafadhali wasiliana nami.
 
Mkuu hv lift kama inakupandisha then ghafla umeme ukakatika kabla hujafika inakuaje ?
 
ahahahhaa....kiongozi naulizia bei ya lift kwa ajili ya wheelchair na inapanda mwisho level nne. nipe bei na pia make yake ni ipi nijue.
 
nitawezaje kutoa taarifa kama lifti imepata hitilafu ,na hapa nilipo naona giza kali,joto kali,
 
Mkuu katika hilo suala ni kutokana lifti imetengenezwaje, kuna nyingine umeme ukikatika inasimama hapohapo mpaka umeme uje otherwise upige simu uje kutolewa na service providers wa hiyo lift.

vile vile lifti nyingine umeme ukikatika inakupeleka kukushusha katika kituo (mlango) cha karibu hizi ndo za kisasa zaidi.google thyssenkrupp elevators
 
je umeme ukikatika hewa nitapataje,au ndio kwaheri bye bye

Haya. Ndio matatizo ya kuchanganya bangi na kubeli.
We umeskia wangapi mpaka sasa wamekufa kwenye Elevator kwa kukosa pumzi?

Mfnssssssss. Majitu mengine bora kuyatupia kwenye zizi la simba yageuke msosi tu.
Your IQ is less than 20. Hata kuku anakushinda.

Mnajaza vyoo tu bila faida.
 
ukiangalia upande wa juu ya lifti kunakuwepo na vitundu vidogo kwa ajili ya hewa kwa hiyo siyo rahisi mtu kupoteza maisha, hapa mjini kuna incident zinatokea mtu anakwama kwenye lifti usiku kucha
 
Duh,
Sawa
 
ahahahhaa....kiongozi naulizia bei ya lift kwa ajili ya wheelchair na inapanda mwisho level nne. nipe bei na pia make yake ni ipi nijue.
Mkuu Hizi special designs sisi tunafanya hapo muhimu ni kujua vipimo vya shaft ya lift hapo tutaanda mchoro pamoja na bei... Karibu Sana METATRON LIFT CO. LTD Lift zetu ni kutoka Uturuki.
 
Kama jengo limejengwa na ramani ya jengo haikuonesha kuwa kutakuwa na lift mf.jengo la ghorofa tatu, na limeisha na watu wanakaa, mnatumia njia gani kuweka hizo lift zenu
 
Mkuu kama jengo halikuwa na system ya lift kwa maana jengo halikuwa na shaft basi tunachokifanya hapo ni tutaangalia nafasi ya njee ya jengo lako na tutajenga Steel construction ama Beam structure. Hizo tunafanya Sana mkuu moja tumefunga hapo karibu na Ubalozi wa India Dar es Salaam. Karibu San Metatron Lift Compay Ltd
 
Mkuu hivi huwa kuna elimu kwa wapanda lift,namaanisha sisi watumiaji hatuna madhara ya uharibifu wa hizi lift endapo labda kuna tabia ambazo ni za uharibifu ,kmaa kulazimisha kufungua akat inajifunga
 
Hilo ni Moja ya matatizo makubwa Sana ambayo Lift inakutana nayo, ila kuondokana na tatizo Hilo huwa tunaweka tangazo njee na ndani ya Lift kumuelekeza mtumiaji.
 
Back
Top Bottom