Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia ulipo.
FARMRICH...
Kuna vitu hivi;
-Sofa moja la watu wawili
-Meza ndogo
-Kitanda na godoro
-Subwoofer ndogo, full na kila kitu chake hadi box
-Dressing table
-Decoder na ungo(dstv)
Vyote nafanya 600,000 tu bei ya...
Safari ita anzia Ubungo, Dar es salaam, Ijumaa ya tarehe 7/7/2017 na kurudi jumapili 9/7/2017. Gharama kwa mtu mmoja ni 230,000/= na 210,000/= kwa watu wawili.
Gharama hii imejumuhisha Kiingilio...
1 DAY OLD CHICKS/ VIFARANGA VYA SIKU MOJA.
Kwa wafugaji serious... Viko 400 tu. Tupo Dodoma mjini ni vifaranga Chotara kwa ufugaji wa kuku wa mayai ya Kienyeji.
Tuwasiliane 0755212988 /0754595780
Bila shaka ndugu msomaji uko mzima wa afya.
Nipo mwz na nina toyota runx ambayo ipo mbichi sana ie file ya gari,low milleage na service ya kueleweka.
Nimehamia kwenye barabara ya off road sasa...
Jipatie kabati za plastic za watoto kwa bei po kabisa na unaletewa mpaka nyumbani buree pia tutakufungia buree kwa wateja wa dar
Malipo mpaka upate mzigo wako
Droo 4 ndogo tsh 75,000
Droo 4 kubwa...
Make : BMW
Model : X5 (FA30N)
Mileage : 98,945km
Engine size: 2,990cc (36
06S)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive : 4WD
M/Year ...
Wapenzi wa riwaya za kipelelezi za Marehemu Mzee musiba, Leo kitabu chake cha HOFU kimetoka sh 10,000. Fika Kariakoo kwa wauza magazeti na vitabu. Pia KIKOSI CHA KISASI bado kipo. Nawatakia kazi njema
Make : Nissan
Model : TIIDA LATIO
Mileage : 62,914km
Engine size: 1,490cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2005
Doors : 4
Seats...
Kichwa kipo clear..nahitaji smartphone ya uhakika...tecno hapana kabisaa..nahitaji brands km:
Huawei mate 8,Samsung kuanzia S6 edge plus , Sony,etc
Scratches hazitakiwi ..
Kazi kwenu..leteni...
Wanabodi...
Muhitaji yupo Dar anahitaji simu nzuri mpya aina ya Sony iwe na uwezo wa kutumia line mbili na iwe na ukubwa(display) 6" au zaidi,muhitaji Ni mwanamke so au kama Kuna simu nzuri kwa...
Habari wana JF, natafuta soko la sungura. Sungura ni wa kizungu aina ya California na New Zealand white. wako na afya nzuri kwani wanapata mlo sahihi na matibabu.
Waheshimiwa naomba mawasiliano ya makao makuu ya premier betting maana nahitaji nipate mashine ya kibetisha kwaajiri ya msimu ujao.
Me niko SINGIDA
ASANTENI
NO: 0712-268339