Wapenzi wa riwaya za kipelelezi za Marehemu Mzee musiba, Leo kitabu chake cha HOFU kimetoka sh 10,000. Fika Kariakoo kwa wauza magazeti na vitabu. Pia KIKOSI CHA KISASI bado kipo. Nawatakia kazi njema
Mleta mada ee! Title yako imenikimbiza kuisoma haraka mada yako ili kujua ni wapi huko polisi na ffu wamekinukisha kumbe ni kitabu kipo mtaani! Ulifanya hivyo makusudi au?
Mleta mada ee! Title yako imenikimbiza kuisoma haraka mada yako ili kujua ni wapi huko polisi na ffu wamekinukisha kumbe ni kitabu kipo mtaani! Ulifanya hivyo makusudi au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.