Plot4Sale Beach plot for sale square meter 1500 price 3000,000 USD Call+255717097905

Emmanuel Akim

Member
Jun 9, 2017
71
16
853ebb7c8fe605849bab9a2cde6373f3.jpg
 
kwa hyo price it's about 6Bn za Kitanzania. Hatar sana Jaman mwny pesa akuje apate upepo wa bahar
 
Duh.....hicho kiwanja kimezingatia umbali wa mita 60 kutoka Baharini ambao ndo unaruhusiwa kimataifa? Mbona Kama Kipo kwenye maji kabisa? Naona ugomvi na serikali zetu hautaisha. Maana hapo unaweza kuta na ujanja wote au kuvunja sheria mtu Ana hati imetulia. Rushwa ni adui wa haki.
 
Hiyo hela nikiwa nayo naenda Ubalozi wa Amerika au Canada naomba viza ya IMMIGRANT INVESTOR VISA na kwenda kuishi huko moja kwa moja .na baada ya miaka miwili na pewa passport .

$3000.000 ninunue beach plot sqm 1500 wapi? TANZANIA mmm inahitaji nguvu nyingi za akili kuamin kuna deal kma hizi Tanzania za kununua plot HELA HIYO TANZANIA.
 
Hata bhakresa mwenyewe ukimpa deal kama hii atakutukania wazazi wako.......6 billion just kwa plot
 
Kwahiyo bei unazungumzia atleast 6.22 billions Tshs.kwa 1500 square meters Nadhani wewe unatumia cha Arusha sio bure
 
Hiyo hela nikiwa nayo naenda Ubalozi wa Amerika au Canada naomba viza ya IMMIGRANT INVESTOR VISA na kwenda kuishi huko moja kwa moja .na baada ya miaka miwili na pewa passport .

$3000.000 ninunue beach plot sqm 1500 wapi? TANZANIA mmm inahitaji nguvu nyingi za akili kuamin kuna deal kma hizi Tanzania za kununua plot HELA HIYO TANZANIA.

Yaani kuna bei nyingine ukizisikia Tanzania ni kama kuna wendawazimu, pesa hizo mkuu unaweza kununua nyumba ya maana nchi za watu na facilities kibao! Na chenji nyingi zikabaki Unakuta hata apartments za bongo bei zake zinakuacha mdomo wazi, ukitoka nje unakutana na vumbi, nzi, vibaka na miundo mbinu mibovu na nyuso zenye huzuni.
 
Steph Curry agrees to a 5 year, $201 million with the Warriors per ESPN.
Mtafute huyo labda hatowaza kuitoa hiyo pesa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom