Habari zenu wakuuu.....
Napenda kuwatangazia tunauza mashine mpya na imara za kusagia karanga.Hizi hazitumii umeme ni nguvu ya mkono wako tu.Tunauza elfu 45 za kitanzania.
TUNAPATIKANA...
Tatizo hili la kuwa na maumbile madogo limekuwa likiwakosesha raha na kuwanyima usingizi wengi, kwani huhofia hata kujiingiza kwenye mahusiano kwa kuogopa fedheha, hali inayopelekea wengi...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kujuzwa wapi nitapata soko la vitunguu saumu vya jumla.
Namba yangu ni 0715641681
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Utaratibu ni kwamba,
Unanipa oda ya gari unalolipenda, ninakupa makadirio ya kodi hadi gari kuwa barabarani.
Ukirithika, unafanya malipo!
Na...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
Wadau wa Jf nasafiri kutoka Dar kwenda kahama kwa mara ya kwanza lakin nahtaji kujua wap nitapata gest za bei cheap mana nafka usku.........ikiwezaka kuwe na.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba mwenye kujua Lodge ambayo naweza kufikia pale Kyela ambayo haiko mbali na stand. Isizidi 20k. Kama nitapata mawasiliano kwa ajili ya booking sio mbaya.
Asanteni
Post sent using...
Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri).
Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000.
Niko Bukoba.
Tupo nanenane morogoro barabara ya kuelekea tungi karibu na pentagone geust house
Tunauza kwa jumla na lejaleja
KARIBUNI SANA.
Sent from my TECNO-W3LTE...
Wajomba habarini za kazi
Naomba kujuzwa vinapopatikana vifaa vya greenhouse (isiwe balton) au utaratibu wa kuagiza vifaa hivyo kutoka nchi jirani ya kenya.
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.