Nanunua Simu

Nanunua Simu

Izc

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
546
Reaction score
368
Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri).
Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000.

Niko Bukoba.
 
Sawa nina j1 kwa 150

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri).
Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000.

Niko Bukoba.
Chukua hii ila nipo dar
IMG-20170717-WA0001.jpeg
IMG-20170717-WA0003.jpeg
tecno camon c7
Ipo ktk hali nzuri
 
njoo nkupe tecno Y6, nipo maeneo ya bunena beach-kastamu huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom