unetusaidia picha na bei ili tujipimeKwa anae hitaji kuku aina ya Kuchi anaweza akani PM ili tuweze kufanya biashara, kwa huku Geita vijijini wapo wengi sana kuku wa aina hii.
Weka bei mkuunimeshaweka picha
Tayari nimeshaweka picha
Mkuu hao Kuchi mimi nitawapataje, kama vip njoo PMKwa anae hitaji kuku aina ya Kuchi anaweza akani PM ili tuweze kufanya biashara, kwa huku Geita vijijini wapo wengi sana kuku wa aina hii.
Mbona afya mbaya Mkuu weka picha nyingine ndo hivyo kweli naona shingo na miguu au ni kwa ajili ya urembo.Kwa anae hitaji kuku aina ya Kuchi anaweza akani PM ili tuweze kufanya biashara, kwa huku Geita vijijini wapo wengi sana kuku wa aina hii.