Mwenye gari private anayeenda mwanza,soma hapa

Mwenye gari private anayeenda mwanza,soma hapa

Pole mkuu. Niliwahi kupata breakdown karibu na Sekenke usiku wa manane. Nilijuta kusafiri usiku!
 
Kipindi hiki Mkuu private nadra sana hasa Kwa umbali huo..zinakuwepo lakini zakuotea sana..labda ujaribu gari za IT..
 
Mtu anayeenda kanda ya ziwa kutoka dar weekend hii na private,mteja nipo hapa nitachangia pesa ya mafuta.
NB:mi ni dereva pia tunaweza kusaidiana.

  • Jitegemee ndugu yangu ili uchangie kodi ya serikali kupitia mabasi,acha kupenda unafuu, una gharama sanaaa.
 
Private car kaa zilimponza rafik yangu ilikuwa ni Noah alipo ingia ndan akafikir yupo na abiria wenzake kumbe manyang'au yakamfanya kitu mbaya.... Sanaa ila uzur walimwachia roho yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayeenda kanda ya ziwa kutoka dar weekend hii na private,mteja nipo hapa nitachangia pesa ya mafuta.
NB:mi ni dereva pia tunaweza kusaidiana.
Mimi tarehe 28/07 nakwenda mwanza,kama utakua hujaondoka utanicheck PM

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Back
Top Bottom