Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karibuni wateja wote wa import, export Napia transit goods yote tunadili nayo kwa muda wa mfupi kwa speed Kubwa bila usumbufu kwa wateja Wetu bila kusahau gharama ndogo saana kalibuni wateja Wetu...
1 Reactions
5 Replies
928 Views
Habari zenu wadau naomba msaada yeyote mwenye programme ya microsoft office ya 2017 au mwaka 2016 for macos sierra ambayo ishakuwa activated.... Nitatoa offer nono Nadhani nitakuwa nimeeleweka...
1 Reactions
2 Replies
856 Views
Naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu bei ya Samsung Galaxy MegaPlus naomba anijuze chap chap..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
natafuta laptop kwa bei ya 350,000/= RAM kuanzia 2gb
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa maelezo zaidi piga namba 0779888204 au 0777141565 au 0713305020 au 0778888390 karibuni sana masomo yataanza trh 9 Feb 2015
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Wadau ninauza line ya uwakala ya Airtel Money ambayo iko fully operational. Bei ni 200,0000/=. Kama uko interested njoo PM.Nina shida ya haraka ya pesa ndomana naiuza.
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Kama Kuna yoyote mwenye kujua nyumba inayouzwa kuanzia 80 milioni kushuka chini Naomba tuwasiliane. Iwe na vyumba vinne maji Umeme na car parking
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Jifunze kuongea lugha ya kichina in two weeks,ni kitabu na CD kwa bei ya 10,000tzs tu.utajifunza kuongea ndani ya mda mfupi na mwalimu atakaekuelekeza kutumia CD.Call us on 0757464131,0759003146...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NIPO TEMEKE simu no.0659 234 265 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau jamani naombeni msaada natafuta chumba na sebule ,choo chake na jiko.maeneo mazuri ukanda wa old bagamoyo road au new bagamoyo road bajeti yangu laki 2 naweza kuanza kwa kodi ya...
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Nauza simu hiz;- iPhone 6s plus 16gb mpya kwa 970k tu, Na samsung galaxy note5 Used But very clean Gold 32gb Unapata na charger Kwa 600k tu Location DSM
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye kujua hizo gari ,natafuta namba B Nina Mil.7
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni stori inayotrend sana hapa TZ hasa hasa kwa social media, hadi inanifanya nijione TZ nimekuja kutalii na sio ninapoishi siku zote. Cha ajabu huwa najikuta kama niko mwenyewe nisiyekua na...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo, Nahitaji simu isiyozidi sh 220,000. Ni simu gani mpya (tecno, infinix, huawei au bland nyingine) naweza kuipata kwa pesa hiyo dukani?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu? Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone. Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Anaeuza tecno phantom 6 plus used anichek PM. Nahitaji.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari IPO kwenye hali nzuri utakuja na fundi wako ai test kabisa, npo dar
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Muhimu iwe ktk good condition na bei inayolizisha. Kwa hapa dar au dodoma itakuwa vizuri zaidi kwa sababu ya logistics, ila ata kama ni nje ya hapo si vibaya kunicheck pia. pm me au hola hapa chini
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom