Mbegu bora now ni Dar es Salaam

Mbegu bora now ni Dar es Salaam

NNJ7

Senior Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
114
Reaction score
59
4c0e50fe2e17e2a798bb8b0b5ce6a6de.jpg
e570d02e546afa0215b8ed6998e86f67.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, jifunze kuhusu masoko na namna ya kutafuta wateja na kumhamasisha kununua bidhaa yako kabla hajakupigia simu!! Yaan kama hapa ulitakiwa mtu akikupigia anatoa order na siyo kuanza kukuuliza nini hiki? Cha kazi gani?? Kinapatikana wapi?? Bei gani?? Usumbufu mtupu!! NNJ7

Sent from my SHW-M250S using JamiiForums mobile app
Itabidi afate huu ushauri ili arekebishe maana hata sielewi ni kitu gani kaweka.

brain is the beautiful part of the body.
 
Kwanza, jifunze kuhusu masoko na namna ya kutafuta wateja na kumhamasisha kununua bidhaa yako kabla hajakupigia simu!! Yaan kama hapa ulitakiwa mtu akikupigia anatoa order na siyo kuanza kukuuliza nini hiki? Cha kazi gani?? Kinapatikana wapi?? Bei gani?? Usumbufu mtupu!! NNJ7

Sent from my SHW-M250S using JamiiForums mobile app

Bila shaka hana uwezo wa kusupply kwa kiwango kikubwa. Anataka kuuza kwa watu wachache wanaofahamu hiyo bidhaa. Hafanyi biashara ila anatoa huduma. Ndiyo sababu hataki kuongeza soko.
 
Kutokana na utamaduni wa uwa wafanyabiashara wengi wa kitanzania tangu Enzi ni wachuuzi wadogowadogo, huwa bado tunaona aibu kuuza vitu au kutangaza biashara.

Yaani mtu anaona aibu kuuza hata matangazo huwa ya ku-beep kusikilizia kama atachekwa au kurushiwa kejeli.

Biashara ndiyo inayoisukuma dunia hii kuendelea. Kwa hiyo kufanya biashara ni jambo la maana sana na siyo kufanya kazi tu serikalini au kwa mtu binafsi.

Tuepukeni kuona aibu kutangaza biashara kwa uwazi na furaha kubwa! Biashara ni kitu kizuri tusione aibu na tusipoteze muda na nafasi kushirikisha jamii kwenye kila hatua.
 
Kwanza, jifunze kuhusu masoko na namna ya kutafuta wateja na kumhamasisha kununua bidhaa yako kabla hajakupigia simu!! Yaan kama hapa ulitakiwa mtu akikupigia anatoa order na siyo kuanza kukuuliza nini hiki? Cha kazi gani?? Kinapatikana wapi?? Bei gani?? Usumbufu mtupu!! NNJ7

Sent from my SHW-M250S using JamiiForums mobile app
Mwambieni unapost kitu theni hakina maelezo ndio nini unadhani wote tunavijua?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom