T Tanaluza JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 212 Reaction score 123 Dec 8, 2016 #1 Wajomba habarini za kazi Naomba kujuzwa vinapopatikana vifaa vya greenhouse (isiwe balton) au utaratibu wa kuagiza vifaa hivyo kutoka nchi jirani ya kenya. Ahsanteni
Wajomba habarini za kazi Naomba kujuzwa vinapopatikana vifaa vya greenhouse (isiwe balton) au utaratibu wa kuagiza vifaa hivyo kutoka nchi jirani ya kenya. Ahsanteni
S salomoe JF-Expert Member Joined Sep 5, 2012 Posts 757 Reaction score 380 Dec 9, 2016 #2 Huko ndio najua vinapatikana kampuni nyingine naziona kwenye TV tu Mkuu
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Jul 17, 2017 #3 Ina maana hakuna anayejua hivi vifaa vinapatikana wapi au ni kiburi.
Power to the People JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 1,198 Reaction score 900 Jul 17, 2017 #4 Kama uko Arusha Jaribu hawa, Puff Adder General supplies TFA complex shop namba 40 karibu na Exim Bank.
Kama uko Arusha Jaribu hawa, Puff Adder General supplies TFA complex shop namba 40 karibu na Exim Bank.
M Mkwaruu JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,929 Reaction score 1,708 Jul 17, 2017 #5 Power to the People said: Kama uko Arusha Jaribu hawa, Puff Adder General supplies TFA complex shop namba 40 karibu na Exim Bank. Click to expand... Kama uko Dar ungewahi saba saba kabla hawajahamisha vitu Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Power to the People said: Kama uko Arusha Jaribu hawa, Puff Adder General supplies TFA complex shop namba 40 karibu na Exim Bank. Click to expand... Kama uko Dar ungewahi saba saba kabla hawajahamisha vitu Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
B Bonge JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 1,123 Reaction score 880 Jul 17, 2017 #6 Subiri sherehe za nane nane utembelee maonyesho ya kilimo