Mashine ya mkono ya kusagia karanga

Mashine ya mkono ya kusagia karanga

SuccessTheBoss

New Member
Joined
May 25, 2017
Posts
3
Reaction score
3
imageskkllll-horz-vert.jpg



Habari zenu wakuuu.....
Napenda kuwatangazia tunauza mashine mpya na imara za kusagia karanga.Hizi hazitumii umeme ni nguvu ya mkono wako tu.Tunauza elfu 45 za kitanzania.
TUNAPATIKANA MAKUTANO YA LUMUMBA STREET NA MCHIKICHI STREET.
DUKA LINAITWA AH-ZAMAN ...
KWA MAWASILIANO ZAIDI ZAIDI TUPIGIE AU SMS +255625470641
TUNAFANYA DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM TU.
MIKOANI TUNASAFIRISHA KWA NJIA YA BASI.
 
Mi nataka ile ya kusaga Karanga zinakuwa kama poda au unga, Yaani zinalainika sana.Haziwi na halala kama ulizozionesha kwenye picha hapo juu.
 
Utuletee na za kutumia umeme,
watu sikuhizi wako kidigital zaidi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom