Niagize mimi gari lako, nitakuletea kwa bei nafuu kabisa

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
2,401
Reaction score
1,311
Salaam,

Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Utaratibu ni kwamba,

Unanipa oda ya gari unalolipenda, ninakupa makadirio ya kodi hadi gari kuwa barabarani.

Ukirithika, unafanya malipo!

Na utaratibu wa malipo ni kama ufuatavyo.

Malipo ni kwamba, kabla hujalipa hata shillingi mia.

tunakwenda kwa mwanasheria tunaandikishiana mkataba

Lawyer ana sign, Mimi nina sign na wewe una sign na mashahidi wa pande zote mbili (wa upande wangu na wa upande wako) wote wana sign

Baada ya hapo, malipo yote unafanyia bank, na pande zote mbili tunabaki na nakala.

Hakuna hata shilling mia ambayo utanipa mkononi

MUDA WA KUWASILI KWA GARI:

Muda wa kuwasili ni Week 6 ila kuna muda meli hua inachelewa kuingia inakua week 8.

Kwahio uhakika ni week 6 ila hizo week mbili ni akiba incase meli ikichelewa kuingia.

Ninatangulza shukran.

Karibu

email: ecarstanzania@gmail.com
 
Wewe ni kampuni au binafsi? Kama kampuni weka details za kampuni

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
biashara ya kuanza kudaiana hela kipindi kama hiki si rahisi.
 
Mimi ni mtu binafsi ambae nina watu wangu wanao ishi nchini japan.

Na ndio hao ambao uniletea magari.
 
Nimekua mwanachama wa jf, kwa takriban mwaka na nusu sasa.

Unaweza kufuatilia, kuona kama kuna malalamiko ya namna yeyote ile ya namna hio.

Naomba uniamini, japo najua kwa sasa matapeli wamechafua sana, na kusababisha hata tulio wakweli kuonekana wadanganyifu.
 
Kama umeamua kufanya magari kama biashara yako rasmi kwa nini usifungue kampuni?

Hii ndio itakuwa rahisi kidogo kuaminika.
 
Hebu nipe tofauti kati ya kuagiza gari kupitia kampuni kama BE FOWARD au STB japani na kupia kwako

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo pesa km tukikubaliana namlipa nani?

Sent from my SM-A7000 using JamiiForums mobile app
 
Kama umeamua kufanya magari kama biashara yako rasmi kwa nini usifungue kampuni?

Hii ndio itakuwa rahisi kidogo kuaminika.
Ahsante sana kwa ushauri wako, niko mbioni kufungua yard kabisa.

Ila kuna taratibu nilikua nazikamilisha.
 
Kwanini nisiagize mwenyewe kama nilivofanya mwanzo?

.... you can't convince, then confuse....
 
Hebu nipe tofauti kati ya kuagiza gari kupitia kampuni kama BE FOWARD au STB japani na kupia kwako

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Naomba nikupe mfano huu;

Uhahitaji gunia la viazi, na masoko yote ya uuzaji viazi bei zinatofautiana, kuna zilizo juu na zilizo chini

Ila yote kwa yote, haiwezi kuwa sawa na bei ya shamba.

Unampigia simu ndugu yako aliyeko shamba, unamwambia unahitaji gunia la viazi

Anakununulia huko shamba, mpaka kuja kukufikia, ukipiga hesabu unakuta umeokoa fedha nyingi sana tofauti na ungeenda kununua kwa muuzaji

Hio ndio tofauti.
 
Ahsante sana kwa ushauri wako, niko mbioni kufungua yard kabisa.

Ila kuna taratibu nilikua nazikamilisha.
Kwenye post zako za ulikuwa una andika Ecars tanzania, na hata Insta unatumia jina hilo, yenyewe ni kitu gani sio kampuni?
 
Ni kampuni,

Lakini kama nilvyo kuambia, ninahitaji kufungua yard kabisa, hivyo kuna taratibu niko nazikamilisha kwaajili hio.
 
Salaam,

Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Utaratibu ni kwamba,

Unanipa oda ya gari unalolipenda, ninakupa makadirio ya kodi hadi gari kuwa barabarani.

Ukirithika, unafanya malipo!

Na utaratibu wa malipo ni kama ufuatavyo.

Malipo ni kwamba, kabla hujalipa hata shillingi mia.

tunakwenda kwa mwanasheria tunaandikishiana mkataba

Lawyer ana sign, Mimi nina sign na wewe una sign na mashahidi wa pande zote mbili (wa upande wangu na wa upande wako) wote wana sign

Baada ya hapo, malipo yote unafanyia bank, na pande zote mbili tunabaki na nakala.

Hakuna hata shilling mia ambayo utanipa mkononi

MUDA WA KUWASILI KWA GARI:

Muda wa kuwasili ni Week 6 ila kuna muda meli hua inachelewa kuingia inakua week 8.

Kwahio uhakika ni week 6 ila hizo week mbili ni akiba incase meli ikichelewa kuingia.

Ninatangulza shukran.

Karibu

email: ecarstanzania@gmail.com
Toyota voltz nitapata kwa bei gani?

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Toyota hiace 2RZ engine nitapata Kwa bei gani..
 
Mkuu mi nakushauri tafta mtaji. Uwe unachukua like 10% down payment. Ukimfikishia ntu gari analipa yote. Kama hawezi humrudishii ile 10%.

Hiv unavyofanya wewe utasubiri sana. Kwanza watu wanauwezo wa kujiagizia. Pia kuna agents nyingi sana zinazoaminika.

Tengeneza goodwill kwanza mkuu.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom