Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri).
Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000.
Niko Bukoba.
Tupo nanenane morogoro barabara ya kuelekea tungi karibu na pentagone geust house
Tunauza kwa jumla na lejaleja
KARIBUNI SANA.
Sent from my TECNO-W3LTE...
Wajomba habarini za kazi
Naomba kujuzwa vinapopatikana vifaa vya greenhouse (isiwe balton) au utaratibu wa kuagiza vifaa hivyo kutoka nchi jirani ya kenya.
Ahsanteni
nyumba ipo kitunda frolida barabara ya ng'ombe karibu na kanisa la rama na ina vyumba viwili vya kulala, choo ya ndan,jiko, na uwanja wa parking kwa mawasiliano piga namba 0769073239
Sent from my...
Waungwana, ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kioo cha kifaa tajwa kimepata mushkeli. Wapi na kwa bei gani naweza kupata kioo cha kifaa husika?
Naombeni msaada wenu wakuu
Sasa unaweza kupata maji safi na salama kutoka kwenye chanzo chako cha maji.
Portable water filter, inafanya kazi ya kuchuja maji,inaondoa bacteria,minyoo/wadudu,kutu, vumbi, mchanga,tope...
Pata dagaa safi kutoka Mwanza, ni wakubwa na wameandaliwa kwa ustadi na unadhifu, unaweza kununua kwa matumizi ya nyumbani (mboga) au kwa biashara.
Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja pia,
BEI...
Nauza kinu cha mashine ya kusaga, nilichongesha sido kwa ajiri ya kuanzisha biashara ya kusaga, sijawah kukitumia Kuna emergency nimeipata,, ambaye yupo interested anicheki
Post sent using...
Mkopo binafsi wa TZS 5M unahitajika.
Marejesho yatakuwa ni 10M ndani ya miezi minne.
Dhamana ni kiwanja chenye Hati ya Serikali ya Mtaa kilichopo Tegeta, Salasala karibu na kwa Kombe...
Wakuu heshima zenu.
Karibuni Real Aviation mpate hudama bora za usafiri wa angani kwa bei nafuu kuliko zote Tanzania na duniani kwa ujumla.Tunatoa Huduma za tiketi kwa abiria na mizigo; ndani na...
Nahitaji mtu au kampuni inayotengeza matofari ya hydroform mjini Dodoma ili tufanye biashara.
Kwa anayefahamu pia si vibaya kutowa maelekezo hapahapa kwa Dodoma niende maeneo gani na pia kama...
STUDY AT KAMPALA
INTERNATIONAL UNIVERSITY(KIU)-
DAR ES SALAAM
FOR OCTOBER INTAKE
APPLICATION IS ONGOING
*****APPLY NOW*****
*DO NOT BE LEFT BEHIND*
PROGRAMMES OFFERED AT SCHOOL OF HEALTH...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.