Nahitaji Nyumba ya kununua Dar es salaam

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
451
Habari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.

Asanteni
 
mwenye hiyo nyumba mfuateni PM unajua Mtu anayenunua Nyuma kipindi hiki siyo mchezo kwa hiyo akisema hapa mtamndama bure
 
Wewe unaonyesha hujawahi kufika Dar.
GONGO LA MBOTO au Mbagala ndiyo maeneo miongoni mwa unayotaka,halafu unasema usiwe mbali na mjini
 
Habari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.

Asanteni
Njoo nkuzie nyumba iko kivile mimi ni mhusika n'a siyo dalali kama Uko serious piga simu 0715591141 dar es salaam

Oba
 
Habari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.

Asanteni
Fafanua huo umbali maanake hayo maeneo uliyotaja kwangu mimi ni mbali sana na mjini.
 
Kwa maana hii hamna sehemu yoyote kwako ni mbali na mjini. Sema tu natafuta nyumba popote Dar, kingine weka budget yako maanake kuna nyumba za 5m-5b tzs.
Asante Sana ndugu,

Unazo Nyumba za Bei gani ,zipo maeneo gani, zipoje ina fence, umeme na maji
 
Habari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.

Asanteni
Mkuu ziko Gongolamboto kuanzia 50 mpaka 80 Milion mtaani sio mbali na barabara hata robo kilomiter hazifiki ukitaka barabarani kuanzia 200 Ml mpaka 500 ml nitafute km muhitaji 0621059449
 
Kuna moja inauzwa Chanika Million 22, Inahitaji finishing kidogo tu ila bati, madirisha na gates tayari. Ni ya kisasa
 
Ipo moja ipo Maeneo ya kibo msewe. Morogorro Road,ukitokea ubungo mataa unapita chai bora au kanisa la ufufuo na uzima,mbele yake kituo kinachofuata cha kwanza cha Dart unashuka. Mwendo wa dk 3. hati kila kitu kipo. Document zote zipo. Inahitaji matengenezo tuu. Ni jirani kabisa na kituo cha mabasi ya Dart. Dakika 3 upo barabarani. 0713297066 kwa maulizo
 
Ninayo chanika na ni mpya bei MIL 52 ipo pembezoni mwa barabara kuu ya mvuti nyumba niya kisasa 0679570897
 
Back
Top Bottom