Zawadi Nono na ofa za kutosha Kwa madereva na watumiaji , ingia leo upate ofa yako. Sasa dereva wa uber Una weza para tsh 450000 pale tu utakapo munganisha dereva mwezako.kwa maelekezo zaidi...
Rejea kichwa cha habari, Simu yoyote yenye sifa hizi:
*Display size 5.3" inches
*Removable battery
*Duos (Sim Card)
*Primary Camera not less than 13MP, Secondary Camera not less than 8MP
*OS...
Wakuu, salaam
Gari ya kampuni inauzwa kwakuwa imeshafikisha miaka 5, mtumiaji tangu imenunuliwa si MTANZANIA, ni MANUAL TRANSMISSION
Rangi Nyeupe
Mileage ni 49000km
Reg ni T2..CHV
Bima inaisha...
Habari wakuu?.
Ninauza laini(TILL) kwaajili ya huduma za M-PESA na AIRTEL MONEY.
1. M-pesa naiuza kwa sh 150,000/=
2. Airtel money sh 130,000/=
Kwa anayehitaji tuwasiliane inbox tufanye biashara...
DAGAA WATAMU
Habari zenu, kwa wale wakazi wa dar pata dagaa safi na watamu wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei ya sh 2000 tuh kwa pakti, derivery ni bure ndani ya dar es salaam kwa mawasiliano...
Ina vyumba vitatu, dinning, sittingroom na master moja.
Sehemu kuwa ya parking.
Mahali: Salasala Kilimahewa
Bei: 65 Milion
Simu. 0784 01 11 01
0652 34 44 18.
Sent using Jamii Forums...
Wakuu habari za majukumu ya kujenga taifa,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ninatafuta shamba la kununua, liwe maeneo ya ruvu, chanika, kuanzia mwanzo mgumu. Pia itakuwa vizuri likiwa halipo...
Ndugu wanajamvi mwanaume wa ukweli ni Yule anaejua kutafuta pesa na vile vile kumshughulikia mpenzi wake ipasavyo.
Ndugu zangu mimi natoa huduma kwa wale wajasiliamali tunaobeti kwa kukupatia...
Asali mbichi halisi
Inapatikana kwa tsh 10000 Kwa lita moja Asali toka ugalla wilaya ya urambo karibuni maeneo kunduchi mtongani DSM
Mawasiliano 0754249732 au 0659796318
TANGAZO, TANGAZO
KIWANJA :
Kiwanja kipo kigamboni-tungi songani, kina heka 5 ...kipo karibu na stendi ya mabusi yaendayo kigamboni feri na mbagara rangi 3...kiko karibu na soko kuu la tungi...
Wadau ninauza gari tajwa hapo juu ya mwaka 2000.gari halina tatizo lolote na haijawah kua na tatizo lolote.
Mimi si dalali ni mali yangu.niliagiza mwaka 2013 dec.na imekua mikononi mwangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.