Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ofisi ipo magomeni mapipa na friji zote ni mpya kutoka kampuni ya BOSS unapata na warranty ya miaka 2. Piga 0658 18 47 97 tukuletee Na hizi ni baadhi ya delivery tulizofanya kwa wateja wetu...
0 Reactions
7 Replies
19K Views
Jamani wana jamii forum tusaidieni mliopo mjini soko la mbaazi huku kwetu Manyara bei imegoma na muda wa kuanza kilimo umekaribia hatuna namna mbaazi ndiyo mkombozi wetu. mwaka jana kampuni ya...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
nahitaji kabati la vyombo bei isizidi laki na nusu 0758478009
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Hi
Msaada wa kununua bidhaa aliexpress Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Hello nauza godoro sita kwa sita upana nchi sita kwa 80000 ,pia nauza carpet la manyoya zito na zuri kbs bei 60000 na pia Nina fridge kubwa la familia nauza 300,000 karibuni sana kwa atakayehitaji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bati la CORRUGATED COLORFULL/MIGONGO MIDOGO ZA RANGI Bati la migongo midogo la rangi(corrugted colorfull) ni bati kama lile la zamani la silver,sema haya yanatengenezwa na coil yenye rangi...
1 Reactions
14 Replies
15K Views
Mwenye nacho post hapa, au niPM
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Wandugu nahitaji pampu inayoweza kuvuta maji kwa kutumia upepi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ni shamba la heka moja lipo maeneo ya mvuti dondwe 4 million kama unahitaji nione pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Color Pear, CC 2360, AB ABS AW RS FOG HID NV B-MONITOR Total cost Tsh 14Mil Pamoja na ushuru wasiliana kwa: call/whatsapp: +255715471659
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Toyota Alphard 2003 Color Pear, CC 2360, AB ABS AW RS FOG HID NV B-MONITOR Total cost Tsh 14Mil Pamoja na ushuru wasiliana kwa: call/whatsapp: +255715471659
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Kichwa cha thread hapo juu chahusika. UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5. SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji. Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunatengeneza mashine za kuzalishia vifaranga kwa bei nafuu kabisa. Mashine zetu ni nzuri na zenye uwezo zaid na hatching capacity yake ni asilimia 97. Mashine zetu zipo popote pale kwa maana...
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Kichwa cha thread hapo juu chahusika. UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5. SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji. Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Jamani natafuta mwenye utaalam au mtaalam wa maswala ya mapishi ya vitu adimu adimu kama vile cake za aina tofauti, na bites bites za aina tofauti, n.k, tufanye kazi kisasa zaidi. Unaweza kuweka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi ndugu zangu, nina gunia 250 za vitunguu nauza kwa atakaehitaji tafadhali tuwasiliane 0622007272. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Viwanja viwili vilivyoshikana vya mita 20 kwa 20 (yaani ni kiwanja kimoja cha 20 kwa 40) vinauzwa. Viko sehemu nzuri sana Olasiti Arusha. Ni kama mita 700 tu kutoka barabara kuu inayotoka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
natafuta wateja wanaotaka unga wa samaki(panki) kwa wateja wa Dar unga huu hutumika kama chakula cha .kuku na nguruwe mawasiliano Ni 0762655938 au 0718969767
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
. 0753977988 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom