...gharama isizidi 150000,Ipo maeneo ya mwenge savei bei yake 180. Hakuna dalali. Unalipa nafanya marekebisho kidogo unahamia ndan ya sku mbili. Ni kama dk 5 tokea mliman city. Chumba sebule jiko choo. Gari ni mpaka mlangon kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app