Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,516
Nina rafiki yangu ana hitaji 2mil , interest yoyote unayoitaka. Ana uwezo wa kurejesha lak 3 kila mwezi mpaka mwisho wa deni. Dhamana atakukabidhi vyeti vyake original na yuko tayari muandikishiane kisheria wadhamini . Kama upo unayeweza toa huduma hii ni Pm.