Wazima, samahani nauza smartphone ni tecno w3 kwa laki moja. Imetumiwa kwa muda Wa mwezi mmoja tu. Kama unaihitaji Nicheck 0625623692
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko mwananyamala, darWeka picha tuone kama bado iko vizuri na unapatikana maeneo gani?
-Ndumilakuwili-
Haya weka picha tuone hiyo simu unayouza.