Natafuta Soko La Mahindi Ninavuna Sasa

Natafuta Soko La Mahindi Ninavuna Sasa

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Wakuu habari za Leo,napenda kutoa maelezo machache kuwa Nina vuna MAHINDI yangu Morogoro ekari tano..natafuta soko kwa anaefahamu debe la mahindi kwa sasa nikiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yavune. yatie dawa kisha potezea mpaka november hivi. You will reap the benefit
 
Magufuli ameruhusu tani moja tu kusafirisha mahindi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.....sasa hayo ya kwako hata ukipata mteja utasafirisha vipi...?
Changamoto kwa mkulima
 
Magufuli ameruhusu tani moja tu kusafirisha mahindi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.....sasa hayo ya kwako hata ukipata mteja utasafirisha vipi...?
Changamoto kwa mkulima

Acha upotoshaji wewe..
 
Debe kwa 2800 tu?
Mkulima bora uweke mzigo stoo kuliko uuze kwa bei hiyo.
 
Back
Top Bottom