Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

· 787 Dreamliner features Etihad Airways’ industry-leading, award-winning cabins · Popular route approaching millionth passenger milestone Etihad Airways has introduced the Boeing...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
natafuta monitor yenye tundu la AV
0 Reactions
6 Replies
872 Views
Wanabodi habari njema ni kwamba kiwanja kilichopo Kibaha kwa Mathias kando kando ya barabara iendayo Nyumbu jeshini eneo linaloitwa Jamaika chenye ukubwa wa takribani ekari moja kinauzwa. Kiwanja...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasalaam wana bodi! Nina hitaji henga za nguo, kama unazo naomba uniPM au unitafute kwa namba 0656 475 081! Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Wakuu habari za Leo,napenda kutoa maelezo machache kuwa Nina vuna MAHINDI yangu Morogoro ekari tano..natafuta soko kwa anaefahamu debe la mahindi kwa sasa nikiasi gani? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Inauzwa bei maelewano
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kichwa hapo juu kinajieleza vizuri ninakodisha banda ambalo lipo tayari limetengenezwa na chumba kimoja chenye usalama ambacho unaweza tumia kuhifadhi vifaa vyako na hata kulala eneo ni Ubungo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu ana hitaji 2mil , interest yoyote unayoitaka. Ana uwezo wa kurejesha lak 3 kila mwezi mpaka mwisho wa deni. Dhamana atakukabidhi vyeti vyake original na yuko tayari...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Wakuu kampuni ya Jajojo inanunua mahindi kuanzia gunia mia na kuendelea. wasiliana nasi kama wewe ni muuzaji wa mahindi. Tupo jijini Mbeya. 0715 966693 jajojo@jajojo.com www.jajojo.com Asanteni.
1 Reactions
43 Replies
5K Views
AKROS LIMITED Calls for applications to any individual with medium level knowledge and experience in Website Designing and development. Kindly send your Application letter and Resume to...
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Natafuta room maneno ya makumbusho,kinondoni au mwenge iwe na maji na iwe ndan ya geti.gharama isizid 150000
0 Reactions
6 Replies
959 Views
Nataka kioo cha laptop dell latitude e5400, nipo dodoma. 0739-943684
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Kama kichwa kinavyojieleza Karibuni. IQ standard
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu! Nahitaji Laptop iwe na hard disc kubwa kuanzia 320Gb Ila processor na ram iwe yoyote.sijangui kwa upande wa pro na ram. N:B Iwe kdg Toleo...
0 Reactions
6 Replies
840 Views
Nianuza mbwa jamii YA pet... Kuna wawili majike wana miezi 7 na wengine wadogo wa miezi 2 vijike vipo 2 na vidume 3 karibuni tabata.... Bei ni maelewano wameshapatiwa chanjo YA pavo, Vitamini na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamani habari za mida hii wanajamvi, Nauliza ni wapi wanakouza TV Showcases nzuri na kwa bei nafuu. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
944 Views
CC 1990, AB ABS AW FOG NV, 4WD Total cost Tsh 11Mil pamoja na ushuru Agiza nami kwa: call/whatsapp: +255715471659 e:hamoudautocom@gmail.com ...Wakati wote ni wakati wa kazi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya jioni wadau kuna Kiwanja kipo barabara ya kwenda goba mita 300 kitoka lami kipo vizuri sana umeme na maji yapo bei mil 25 ameanzia njoo uwone Kiwanja ukubwa ni 25 Kwa 30 karibuni #...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anayeuza Gari hasa Noah aniPM Iwe ktk hali nzuri. Masharti na vigezo kuzingatiwa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu salama... Humu ndani Napangisha nyumba na sebule yake ambayo. Ni master yani Chumba chenye choo ndani na sebule yake pamoja na jiko vyote vipo ndani , ipo maeneo ya mwenge karibu kabisa na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom