Ninakodisha banda la kuonyeshea Video (Mpira)

kimpe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
911
Reaction score
862
Kichwa hapo juu kinajieleza vizuri ninakodisha banda ambalo lipo tayari limetengenezwa na chumba kimoja chenye usalama ambacho unaweza tumia kuhifadhi vifaa vyako na hata kulala eneo ni Ubungo kibangu kwa ambae yupo tayari plz D.M
 
Bei gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa hapo juu kinajieleza vizuri ninakodisha banda ambalo lipo tayari limetengenezwa na chumba kimoja chenye usalama ambacho unaweza tumia kuhifadhi vifaa vyako na hata kulala eneo ni Ubungo kibangu kwa ambae yupo tayari plz D.M
Nicheki mkuu.
 
Back
Top Bottom