Habari, karibuni shower gel (sabuni ya maji yakuogea)
Napatikana dar ubungo delivery ipo
Only 15000/=
Call 0714547830
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuel: Petrol
Engine size: 2430cc
Year :2002
Transmisson- Manual
Fuel: Petrol
Imported from Japan July 2016
Imetumika hapa Tanzania kwa miezi kumi tu.
Sababu ya kuuza ni changamoto ya usimamizi...
Wasalaam wangu.
kuna ndugu yangu mkoani simiyu anahitaji kuchimba kisima kirefu kwa ajili ya masuala yake ya kilimo na ufugaji.
Ningependa kujua gharama za uchimbaji wa bore holes kwa makampuni...
Mdau kwenye simu tajwa kwenye heading, brand new na original tafadhali tufanye biashara. Bajeti yangu ni 1.4mln
Kama una kanjanja tafadhali usisumbue kwani itakuwa tabu tukiichunguza na kubaini...
Jipatie .com domain name kwa bei ya Tsh 15,000/yr
Offer hii ni ya mda mchache tu.
Tuwasiliane hapa kwa maelezo zaidi +255719658086
weka order yako hapa: Portal Home - Tanzania website Experts...
Sifa za partiner;
Awe committed, mwaminifu, mwenye malengo, aweze kufocus kwenye malengo bila kua dstructed na external factors.
Mwenye kufikiria chanya, amini katika Mungu.
Nicheki PM
Eneo hili lipo mbwanga kabla ya nala dodoma mjini.lina ukubwa wa ekari tatu kasoro kidogo sana,hati yake ni ya kijiji!liko umbali usiozidi kilomita 11 toka town centre na umbali wake toka barabara...
Hello! Kuna mtu anahitaji kununua pharmacy. Kama unauza famasi yako au unafahamu pharmacy ambayo inauzwa/mmiliki anaweza kuiuza kwa sasa na ipo Dar es salaam basi naomba tuwasiliane kwa namba...
Jamani mimi nina ma-hot pot yamebabuka babuka tu na nilinunua bei kidogo kubwa kudhani yatakaa.
Mwenye uzoefu aniambie wapi niende nikanunue ma-hotpot ya maana mazuri yatakaoishi muda wa kutosha...
Viwanja hivi vipo umbali usiozid kilomita 3 toka barabara kuu ya kilwa. Maeneo viwanja vilipo ni vikindu mkuranga.karibu kabisa na kinapojengwa Chuo kikubwa cha st Augustin. Kwa wasiliano zaidi...
shamba lipo morogoro Kingulwira lipo karibu na mto ngerengere 14 km kutoka barabara kuu MOROGORO to Dar es Salaam (0744990530)
Sent using Jamii Forums mobile app
Umililiki wako kwa jukumu letu.
MHCL inatoa huduma za upandaji miti ya mbao na parachichi, tunauza ya miche ya miti ya mikaratusi(ecalyptus) na misindano (pine), utoaji huduma endelevu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.