Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hbr wadau, Naomba kuuliza, decoders za bein sport kwa Dar es Salaam nani anauza? Hao jamaa naona wako vizuri sana mikoani kwa watoa huduma za cables, nilitaka kupata decoder yao hapa dsm
0 Reactions
1 Replies
931 Views
wadau nahitaji gari Mercedes Benz c200 kompressor used yenye hali nzuri kuanzia namba C mwenye nalo tufanye biashara ofa yangu ni 7ml
2 Reactions
2 Replies
799 Views
Suluhisho pekee kwa wasomi for any Technical assistance and Training in research issue,bussines planning,proposal,project planning etc wasiliana nasi....Tupo Ukonga Dar Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
1 Replies
718 Views
Shamba lipo Mizani(Nala) Dodoma mjini karibu na chuo kipya cha biashara. Umbali wake toka town centre hazizidi kilomita 13 na toka barabara ya lami ni kama mita 700/800. Hati yake ni ya...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Mwenye kutaka nyumba ya kupangisha. Nyumba ipo Mbezi mwisho. Ni kituo cha tatu kutoka Mbezi stand mpya kama unaelekea morogoro. Ina masta moja. Sitting room na vyumba vingine vinne. Choo na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
HABARI NJEMA
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa anaehitaji tuwasiliane 0677774708 vibali vyote vipo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema.<br /> Kwa wenye mahitaji ya uyoga mkavu na mbichi tutakufikishia popote ulipo (Dar pekee) kwa bei nafuu kabisa<br />Pia tunatoa mafunzo ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
●Are you residing in Dar Es salaam and Pwani and you need master of ceremony for your event? ●Vitality ceremonial inc brings to you group of MC at reliable negotiation. ■Contact us through...
0 Reactions
1 Replies
556 Views
wakuu nanunua simu ya tecno H7,mradi iwe katika hali nzuri na yenye kukaa na chaji
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye uhitaji bei ni TShs. 500,000/=
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapa nataka hela kwa hio nimeamua kuuza sofa langu na fridge bei sofa ni 160000 na fridge ni 150000.contact 0652002828
3 Reactions
143 Replies
16K Views
Wakuu kwema??, Ninauza Kiwanja Changu kilichoko Mbutu, Kichangani, Kiwanja kimepimwa na ukikichukua hati inatoka kwa jina lako, Kiwanja kiko pale pale Mbutu mjini around 150m kutoka stand na...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nahitaji kukodi gari aina ya NOAH kwa ajili ya Harusi siku ya Jumamosi tarehe 12/8/17 hapa DAR.Gari lazima iwe kwenye hali nzuri . Ratiba ni kama ifuatavyo jumamosi mchana kutupeleka kanisani ...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo katika hali nzuri HP 635 - 15.6" - E-350 - Windows 8 Home Premium 64-bit - 2 GB RAM - 320 GB HDD. 0712631270 kingkibode@gmail.com
0 Reactions
8 Replies
943 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini za muda huu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, line za uwakala zinauzwa kwa yoyote anayehitaji. - tiGO Pesa (3) - M Pesa (2) - Airtel Money (2) Bei ni 150,000 (kwa kila moja)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana bodi Kama tangazo nilivyoliweka nahitaji kuanza biashara hii Msaada wenu kwa anayemjua muuzaji na gharama kiujumla msaada
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunakuletea suluhisho la kudumu kwa Nyumba yako, Kama hukujenga njia ya lift ama umejenga njia ya kupita lift yote sasa yanawezekana, Tunazo Lift/Elevators ndogo kabisa kwa matumizi ya Nyumbani...
7 Reactions
162 Replies
19K Views
Kwa chuo kinachohitaji Mwl wa Bomba, tuwasiliane PM
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom