Lift ndogo kwa matumizi ya nyumbani (Home Lift)

metatron

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
552
274
Tunakuletea suluhisho la kudumu kwa Nyumba yako, Kama hukujenga njia ya lift ama umejenga njia ya kupita lift yote sasa yanawezekana, Tunazo Lift/Elevators ndogo kabisa kwa matumizi ya Nyumbani (Home Lift) Toka nchini UTURUKI.

Hakuna sababu tena ya kulala sebuleni ama chumba chini na hata hivyo pia (wheel chair) inaingia bila matatizo kwenye Lift.

Lift hizi ni bora na za kisasa kabisa zikiwa na waranti ya Miezi 24 na Utafanyiwa matengenezo bure kwa mwaka mmoja.

METATRON LIFT CO. LTD
P.O.BOX 5848
MBEZI BEACH - DAR ES SALAAM
+255 714 434 190 - metatronlift@gmail.com


HOME LIFT...
17795948_1412826778738257_8725557936525886377_n.jpg
villa-lift-1_wa410.jpg
villa-lift-2_wa410.jpg
 
Back
Top Bottom