Kiwanja Kilichopimwa kinauzwa Kigamboni, Mbutu

Kiwanja Kilichopimwa kinauzwa Kigamboni, Mbutu

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,762
Reaction score
2,194
20170805_112513.jpg
Wakuu kwema??,

Ninauza Kiwanja Changu kilichoko Mbutu, Kichangani,
Kiwanja kimepimwa na ukikichukua hati inatoka kwa jina lako,
Kiwanja kiko pale pale Mbutu mjini around 150m kutoka stand na around 1.5km kutoka Baharini,
Eneo ni 649 Sqm na bei ni Tshs 6,450,000/= (Mazungumzo yako).
Contacts 0684 477 150
 
Attachments

weka picha, Gari linafika hadi kwenye kiwanja,? Sio uswahilini nyumba zimebanana kama za manzese?Eneo hili limepimwa au kila MTU amejijengea tu bila kujali mitaa na Barbara? Je Huduma za kijamii MF. Kanisa ,Hospital vipi karibu? ungeweza kuelezea hayo na picha ukiambatanisha itakuwa vizuri
 
Gari inafika Kiwanjani, ni eneo ambalo viwanja vyake vimepimwa hivyo hakuna uswahili uswahili, huduma za kijamii ziko
 
Eneo la ukubwa gani takriban limepimwa? Ni mradi au upimaji binafsi?
Ukubwa siwezi kufahamu ila kuna Viwanja kama 50 hivi vilipimwa pamoja as a "Mradi", changu kikiwemo humo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom