Nahitaji kukodi gari aina ya NOAH kwa ajili ya Harusi siku ya Jumamosi tarehe 12/8/17 hapa DAR.Gari lazima iwe kwenye hali nzuri . Ratiba ni kama ifuatavyo jumamosi mchana kutupeleka kanisani , baadae kwenye hall ,huna haja ya kusubiri harusi unaweza kwenda kupumnzika , Mwisho wa harusi inabidi uje kutuchukua .
Mkataba unaweza kuwa wa aina mbili , uendeshe wewe au mimi. Weka no yako ya simu na bei
Mkataba unaweza kuwa wa aina mbili , uendeshe wewe au mimi. Weka no yako ya simu na bei