Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza baby Walker, baby rocker na baby night sleeper na bedding za mwanangu.kwa mawasiliano piga 0756661761
1 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu habar zenu naomba kujua bei ya mashine zinazotoa risit za biashara..ni zile mashine zinazotolewa na TRA. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye miche ya mipingo nahitaji. Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jipatie .com domain name kwa bei ya Tsh 15,000/yr Offer hii ni ya mda mchache tu. Tuwasiliane hapa kwa maelezo zaidi +255719658086 weka order yako hapa: Portal Home - Tanzania website Experts...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Kama heading inavyojieleza. nitapata wapi king'amuzi cha Azam kwa huku kigamboni. msaada pls
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sifa za partiner; Awe committed, mwaminifu, mwenye malengo, aweze kufocus kwenye malengo bila kua dstructed na external factors. Mwenye kufikiria chanya, amini katika Mungu. Nicheki PM
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kimetengenezwa kwa ubora wa hari ya juu Haihitaji kuchanganywa na kitu kingine chochote Ni mlo kamili Kwa maailiano piga 0767614091 ,0713614091
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
4 Replies
4K Views
Eneo hili lipo mbwanga kabla ya nala dodoma mjini.lina ukubwa wa ekari tatu kasoro kidogo sana,hati yake ni ya kijiji!liko umbali usiozidi kilomita 11 toka town centre na umbali wake toka barabara...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello! Kuna mtu anahitaji kununua pharmacy. Kama unauza famasi yako au unafahamu pharmacy ambayo inauzwa/mmiliki anaweza kuiuza kwa sasa na ipo Dar es salaam basi naomba tuwasiliane kwa namba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza shamba langu mlandizi kwa bei ya haraka mil 2.5, lina ukubwa wa heka 2 tu. Mawasiliano:0714187123, 0712754400.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani mimi nina ma-hot pot yamebabuka babuka tu na nilinunua bei kidogo kubwa kudhani yatakaa. Mwenye uzoefu aniambie wapi niende nikanunue ma-hotpot ya maana mazuri yatakaoishi muda wa kutosha...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Viwanja hivi vipo umbali usiozid kilomita 3 toka barabara kuu ya kilwa. Maeneo viwanja vilipo ni vikindu mkuranga.karibu kabisa na kinapojengwa Chuo kikubwa cha st Augustin. Kwa wasiliano zaidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
shamba lipo morogoro Kingulwira lipo karibu na mto ngerengere 14 km kutoka barabara kuu MOROGORO to Dar es Salaam (0744990530) Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Umililiki wako kwa jukumu letu. MHCL inatoa huduma za upandaji miti ya mbao na parachichi, tunauza ya miche ya miti ya mikaratusi(ecalyptus) na misindano (pine), utoaji huduma endelevu kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Imetumika week 1 tu Bei 850k Whatsup 07495855940 Niko Dar. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
458 Views
Habari majukumu ndugu zangu, Kwa mwenye ufahamu juu ya nyumba zinazouzwa za NSSF,PPF PSPF chanika naomba anijuze. Nataka kununua Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mawasiliano nipigie 0764426929,0655726929 na 0742188846 Zipo heka 200 bei ya kila eka ni 100000 Shamba lipo mkoani NJOMBE Ktk tarafa ya lupembe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Habari wakuu, natafuta jiko kwa ajili ya biashara maeneo ya sinza, ubungo, manzese na maeneo jirani na hayo. Mwenye kujua please msaada.
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Shamba lililopimwa lipo kibaha, njia rahisi na fupi ni ya kupitia bagamoyo road ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo kuna barabara iliyochongwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom