cctv camera,eletric fence,security door,Biometric Fingerprint Reader & etc

cctv camera,eletric fence,security door,Biometric Fingerprint Reader & etc

kwa bei poa kwa anae itaji ni check 0629955576
Embu kwanza nieleze, nikiweka yote haya kuna point ya kuwa na mlango wa grill? Maana mi naona unaharibi show, but watu wanasema unasaidia kwenye security.

Je hizo security wire, umeme hazili sana? Nijibu haya tu, maana kieneo changu kikubwa, sqm 2800

-callmeGhost
 
Fafanunua vizuri hiyo ni biashara au unafundisha

Tuyaache kama yalivyo
 
Mkuu fafanua Uzi wako uwaeleweshe watu wote. Ujue hili ni darasa.

Hata Makonda aliandika majina lakini akayafafanua.

Wengine hatuelewi kwa summary, hadi tusome notice.

Lakini, samahani kwa hilo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom