Nahitaji iPhone 7 plus

Nahitaji iPhone 7 plus

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,196
Reaction score
9,202
Mdau kwenye simu tajwa kwenye heading, brand new na original tafadhali tufanye biashara. Bajeti yangu ni 1.4mln

Kama una kanjanja tafadhali usisumbue kwani itakuwa tabu tukiichunguza na kubaini fake-uhujumu uchumi.

Whatssap only kwa alive serious-0719 813 819 au PM ihusike
 
Kwa ofa hio brand new kabisa sealed hupat utapata mpya isiyo sealed
 
@nuna idea kiasi lakini usijali mkuu,atakaejitikeza tutaikagua tu,cha mingi bajeti ndio imekwamia kiasi hicho!!
 
Elezea kidogo refubshed iko vip ani....?

post using my macbook air using jamiiforums app

Kwenye masoko yetu ya africa watu weng wanapenda vitu vzr lakn kwa bei nafuu sasa kuna zile sim zinazopata default au used makampun ya kichina huyanunua na kuyatengeneza na kuweka housing mpya yanaonekana kama mapyaaa but nt brand new
 
Duh! Lakin zinakuwaga na performance nzuri kama mpya yani,uongo..?

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Duh! Lakin zinakuwaga na performance nzuri kama mpya yani,uongo..?

post using my macbook air using jamiiforums app
Refurbished kwa maoni yangu sio nzuri kununua mara nyingi huwa hazidumu sana, Mfano nishawahi kununua Beat by Dre ilikuwa refurbished baada ya wiki moja tu sikio moja likazima na wiki iliofuata ilikufa yote. Pia niliwahi kununua Sol republic headphone refurbished ndio kwanza naitoa kwenye box speaker moja haifanyi kazi. Na huwezi kujua kama hii ni refurbished mpaka muuzaji akwambie mwenyewe.
 
Tuliza mtori nyama zipo chini mkuu,hio sim utapata tena kwa bei cheap inshort nusu ya hio hela,usiniulize unapata vp ila ujafanja wako tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom