Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari wadau nipo dar keko nauza simu mpya aina ya huawei M2 rom ni 16gb na ram ni 3gb bei yake ni laki 5 namba yangu 0758478009
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani anae uza mashine ya kukushanyia kodi inahitajika haraka sana. 0714919809 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Nyumba iko nyasubi Kahama ,ina vyumba vitano vya kulala na sebule moja, pia maji, umeme vinapatikana. Ina fance ya nyumba ingine kwa nyuma ambayo imekomea kwenye lenta , eneo zima ni nusu heka ...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Africa Feeders Company Limited wanakuletea unga safi, mweupe wa muhogo kwa ajili ya ugali, chapati, maandazi, mikate na matumizi mengine mengi. Packages za 5kg, 20kg na 50kg. Kwa order uletewe...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Kiwanja kinauzwa kimara mwisho kwa komba. Mita 20 kwa 15 na bei ni Tsh 15,000,000 Hakijapimwa. 0712595636.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanangu amevunja tv yangu ya inch 40 kwa kuipiga na remote! Na kwa bahati mbaya imevunjika screen kama inavyoonekana ktk picha hapa chini [emoji116]ninaomba msaada kama kuna mtu anayo au anamjua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Simu Alcatel 5023F inauzwa ni ya mwez wa 3. Laini mbili na betri yake inadumu sana yaani 5000mAh Bei ni 150000(mazungumzo yapo) Mawasiliano: 0765329261 Nipo Iringa( Mbeya,Dodoma,morogoro...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zipo Zaidi ya Lita 500 Mahala: Dsm Price 10,000/- kwa Lita. Serious buyer Tuwasiliane kwa Namba +255715631811 Karibuni.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
BEI ZA VITABU Vitabu vifuatavyo vyenye kanuni (formulations) za utengenezaji wa bidhaa mbali mbali vinapatikana kama soft copies yaani wakati wa kulipia kitabu husika...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Shamba linauzwa lina ukubwa wa ekari tatu lipo dodoma mjini maeneo ya mzani(nala),umbali wa kama kilomita zisizozidi 12 kutoka town cente na kamaita 700/800 kutoka barabara kuu ya lami iendayo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarini wakuuu Bei ya kabati 150000 na dressing table 100000 napatikana mbezi makonde. Ni PM kama upo serious Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Nauza viwanja 4 vimepimwa vipo Mapinga eneo la kiharaka kimoja kina nyumba ya vyumba 3 kuna umeme wa Tanesco na kuna kisima kimechimbwa.Nyumba ya pili ina vyumba vi nne vya kupangisha. Kama...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
AAnaehitaji viungo halisi vya kupikia chai, pilau na mboga mbalimbali, viungo ni halisi kabisa, pia Tunasambaza matunda ya aina zote ukihitaji tunakufikishia mpaka ulipo, kwa mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau nahitaji gari Mercedes Benz C200 kompressor ofa yangu ni ml 7 yenye hali nzuri
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Wakuu poleni kwa majukumu ya kila siku na mihangaiko yoote. Nirudi kwenye topiki. Nina asali ya nyuki wakubwa kiasi cha debe 10. pia nina nta. Vyote hivi vinauzwa. Niko hapa Dar. Naomba kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mercedes Benz Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Size Ft 40 Bei 6.4M Lipo DSM -Tegeta Doducument zake zote zipo Serious buyer nicheki PM
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu! Naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua Haya ni mawe ya aina gani? Na yanitwaje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kimara mwisho kwa komba. Mita 20 kwa 15 na bei ni Tsh 15,000,000 Hakijapimwa. 0712595636.
0 Reactions
4 Replies
946 Views
Back
Top Bottom