Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za muda huu, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali.. Nauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa elfu 33 tu ndoo ndogo ya lita 10,ubuyu Mtamu.. Na napokea oda kwa idadi unayoitaka.. Ubuyu unapikwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Magari yafatayo yako sokoni hapa na weka picha moja moja na bei kwa maelezo zaidi juu ya (millage,model,cc,colour,Transmission) Nenda hapa kwenye Blog yetu mpya MAGARI au piga...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Tunatengeneza school socks kwa bei nafuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Offer yngu ni 250k Hdd iwe kuanzia 320 kuendelea iwe saf
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Nauza vifaa tajwa hapo juu kwa bei ya kutupa kabisa Vifaa vya saluni Vito viwili kila kimoja 45000/= Vioo viwili kila kimoja 45000/= Mashine mbili bado mpya zina miezi mitatu tu kila moja 50000/=...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni, Shukrani zangu za dhati zimuendee mwenyenzi Mungu kwa kutupa uhai mpaka sasa na waandika uzi ya kujing'amua kiuchumi kupitia ujasiriamali. Bila kupoteza muda, ningependa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu. Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani. Bei ni million 5 kutoka Million 8...
1 Reactions
101 Replies
10K Views
Habari wakuu, Naomba kujua soko la hii bidhaa kwa mji kasoro bahari. Eneo ninaloishi yanapatikana kwa wingi sana hadi nimeshawishika kujaribu kuyafanyia biashara. Kwahiyo naomba mwanga kidogo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Natafuta gari ndogo ya shughuli za shamba...kubeba mizigo hadi tani 5...ulaji mzuri wa mafuta na upatikanaji wa spare...ushauri carnte himself
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Nauza shamba muheza ni ekari 40,bei yake ni 5 million..tuwasiliane. ===== Limesafishwa kama ekari tano hivi Chanzo cha maji kuna mto pale haupo mbali na shamba walkable distance, Lina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu mwenye kuelewa na kujua zinapopatikana heater za sola za kuchemshia maji...au chai..anijuze ..garama na zinapopatikana .. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau. Natumai mu-wazima wote, kama mada inavyojieleza wadau nahitaji kioo cha L9+ wakuu mwenye nacho au mwenye kufahamu wapi wanauza naomba msaada wakuu. Natanguliza Shukran. Thanks...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Kwa wale wanaohitaji kuwa na blogs, website au mobile app, tunafanya huduma hizo za kutengeneza kwa bei nafuu kabisa na kwa muda mfupi tu kazi yako inakamilika pia tunaweka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Spinner za watoto[
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Wakuu habari zenu,ninatafuta shamba la kukodi Ruvu nataka nifanye kilimo cha Umwagiliaji. Naomba kwa mwenye taarifa au msaada wwte anisaidie. 0625568600 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
ndugu habari ya jioni, mbunge wa viti maalumu mkoa wa iringa, kaleta wakufunzi wa mafunzo ya ujasiliamali ,"YATAKAYO TOLEWA BURE KATIKA UKUMBI WA OLOFEA MJINI IRINGA, KUANZIA JUMATATU YA TAREHE...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza samaki aina ya sato wa kufugwa Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama unahitaji kuuza au kununua nyumba maeneo ya mbezi beach,bahari beach,ununio,Mbweni, mikocheni, osterbay , masaki na Dodoma nk wasiliana nasi kwa haraka na uhakika zaidi 0756060183 Sent...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Habari zenu ndugu Wajasiriamali Nahitaji kufaham wapi naweza pata Vifungashio vya Nylon (mfano wake km ivi vifuko vya Chumvi au vifuko vya Sukari ile ya Kilo1) ili niweze kufanya Packaging ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna kiwanja kinauzwa,kipo Kibamba kibwegere kwa Kong'wa. Kina ukubwa sqm 30 kwa sqm 18. Bei n 2M, vipo viwili pamoja,kwa anaehitaji,karibuni sana.kutoka Kibamba lami (morogoro road),nauli ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom