Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,819
2,473
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.

Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.

Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.

Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
 
Kweli Magu kabana. Watu hata kunipa moyo kuwa naweza kuuza hamtaki kabisa
 
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 8. Karibuni pm tufanye biashara.
mkuu m5 unachukua?hali kwa sasa ni mbaya sana akuna cha semina,warsha wala overtime ni mwendo wa kutegemea mshahara tu ambao pia una makato ya kibenki
 
Mkuu upo chini sana. Jitahidi kidogo
 
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 8. Karibuni pm tufanye biashara.
Chukua 7.5 mkuu halulu inekuwa mbaya sana siku hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom