Mbahili
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 297
- 549
Wakuu habari za jioni, Shukrani zangu za dhati zimuendee mwenyenzi Mungu kwa kutupa uhai mpaka sasa na waandika uzi ya kujing'amua kiuchumi kupitia ujasiriamali.
Bila kupoteza muda, ningependa nielekee moja kwa moja kwenye mada.
Kati ya uzi niliyovutuwa nayo ni ule wa greenhouse, kiuhalisia gharama za uanzishaji wa huo mradi ni mkubwa sana na huondoa udhubutu.
kwakuwa tunampango wa kusaidiana kimawazo katika mambo mbalimbali ya kijasiriamali nilikuwa ninaomba mwenye experience na kutengeneza greenhouse atusaidie kutuelezea tools na measurements ili nasisi wajasirianali wadogo tujikwamue kiuchumi.
Samahani kama kutakuwa na spelling error sababu natumia simu kuposti.
Nawasilisha na namaliza kwa kutoa shukrani za dhati...
Sent using Jamii Forums mobile app