Nahitaji Kioo cha L9 plus wakuu. Shukran

Nahitaji Kioo cha L9 plus wakuu. Shukran

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,962
Habari wadau.

Natumai mu-wazima wote, kama mada inavyojieleza wadau nahitaji kioo cha L9+ wakuu mwenye nacho au mwenye kufahamu wapi wanauza naomba msaada wakuu.

Natanguliza Shukran.

Thanks.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza vioo
Vizuri
Vipya
Vya kisasa
Aina mbali mbali
Vinadumu havina mkwaruzo
Vina protecter ndani kwa ndani
Kwa bei nafuu
Kuanzia 1k
Ni pm nitakupa mawasiliano
Na kugarantee utavipenda kama ulivyofulai
Ni vioo kwa ajiri ya nyumbani na office
Hata vya saloon vipo
 
Ni kweli mkuu nilitaka kufanya hivyo ila nikasema kwanza niwape rizk wanafamilia wenzangu wa JF kabla ya kupeleka sehemu nyingine mkuu.

Shukran.
nimekupata mkuu, well done.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom