Wakuu,
Nauza Subwoofer aina ya Sea Piano bado mpya kabisa, ina box lake, remote control, audio cables, speaker 2 za stereo. Ina option ya ku playa kwa Bluetooth, memory card na flash disk, pia...
BamizaBlog ambayo unaweza kutumia kwa matumizi yoyote iwe habari,burudani na michezo ina zaidi ya viewer 538,338 ambayo ni nzuri kuanzia kibiashara
MaishaKiasiBlog ambayo unaweza kutumia kwa...
Kiwanja kinauzwa
Kipo Mbagala, kongowe-Mlamleni
Ukubwa 20/20
Bei sh Mil 3.(Maongez yapo)
Hakina Hati mauziano serikali ya mitaa
Ukihitaji kupaona inawezekana
Nb
Mimi sio Dalali ni kiwanja changu...
WanaJF
Yaani nahangaika kutafuta fensi nzuri ya nyumba nimetuma mafundi mbali mbali dar na mikoa mingine hamna ukuta walio nilitea nikaupenda,nikagoogle hamna kitu...
Naomba humu kama kubafundi...
Natafuta mtu anayeuza korosho ambaye anasambaza kwa maduka mengine au ambaye anauza kwa kilooo anipigie simu tuongeee tufanye biashara nataka haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Our Company '' EXPERT SERVICE investment Ltd ''
We offer Fumigation services and Pest Control service for :
1.Office &household
2.Compound
(a) farm
(b) Construction sites
3 . Warehouse...
Habari wakuu,
Natafuta piki piki used aina ya boxer ,yenye sifa zifuatazo;
1.Isiwe imetumika zaidi ya mwaka
2.Bei isizidi milioni moja
Simu:0713-039875
Habar zenu wana jf;<br />Kuna nyumba inauzwa ipo mwananyamala B" bei yake tsh 20ml ina vyumba tisa karibu(siitaji dalali) kwa maelezo nichek 0717 550291 au PM<br /><br />Sent using Jamii Forums...
Nauza kiwanja changu maeneo ya Kigamboni Malimbika. Eneo Nizuri sana kilometa 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni heka 1 Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani bei yake ni...
Nahitaji uwanja wa maeneo ya Goba au Kinyerezi pasiwe Bondeni, pasiwe mbali sana na barabara kuu. Ukubwa wa uwanja sq 900,(30x30), sihitaji chini ya hapo, pia kiwanja kisiwe na mgogoro wowote...
Nunua bidhaa kwa urahisi!
Kwa wale wapenda vitu vya kijanja na kwa bei rahisi, bonyeza link hii kujiunga na mtandao wako.
KiKUU Online Shopping Mall
Sent using Jamii Forums mobile app
hello wana JF,kwa mwenyekujua mahali nitapaweza kuwapata bata bukini au wale wenye midomo ya njano tusaidiane
mimi nipo dar na nataka kuanza ujasiriliamali na hao bata pamoja na bata maji
thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.