Ni wapi nitapata soko la mayai ya kuku wa kienyeji?

mpenda arage

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
1,677
Reaction score
3,806
Habari wakuu,

Naomba kujua soko la hii bidhaa kwa mji kasoro bahari. Eneo ninaloishi yanapatikana kwa wingi sana hadi nimeshawishika kujaribu kuyafanyia biashara. Kwahiyo naomba mwanga kidogo kuhusu soko lake.

Natanguliza shukrani kwenu.

Arage Jekundu.
 
Kwa nn usiuze kitu unachokipenda? Maharage mekundu?
 
Habari wakuu,

Naomba kujua soko la hii bidhaa kwa mji kasoro bahari. Eneo ninaloishi yanapatikana kwa wingi sana hadi nimeshawishika kujaribu kuyafanyia biashara. Kwahiyo naomba mwanga kidogo kuhusu soko lake.

Natanguliza shukrani kwenu.

Arage Jekundu.
0713449460 nitafute kwa namba hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom