Afu baadae wanamlaumu Mungu, eti biashara ngumu...Hivi hata kutangaza biashara yako unashindwa, Mungu atakusaidiaje?, hakuna bei, hakuna maelezo ya wapi unapatikana, hakuna maelezo ya samaki wanamfikiaje Mteja wala mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhh....[emoji15] [emoji15]
Mkuu uzaa tuu hamna shida.
Dah sijui nilikuwa nakimbilia wapiHivi hata kutangaza biashara yako unashindwa, Mungu atakusaidiaje?, hakuna bei, hakuna maelezo ya wapi unapatikana, hakuna maelezo ya samaki wanamfikiaje Mteja wala mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sasa bandika hapo juu kwenye bandiko lako.Dah sijui nilikuwa nakimbilia wapi
Kilo nauza elfu tano(5000)
Kwenye kilo wanaingia samaki wanne mpaka sita
Namba za mawasiliano ni kwa kuelekezana zaidi 0712702019
Napatikana dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sijui nilikuwa nakimbilia wapi
Dar ni kubwa upo sehemu gani hasa?Dah sijui nilikuwa nakimbilia wapi
Kilo nauza elfu tano(5000)
Kwenye kilo wanaingia samaki wanne mpaka sita
Namba za mawasiliano ni kwa kuelekezana zaidi 0712702019
Napatikana dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app