Mkuu sasa jamaa Kasema Tani tano Carry hata Tani moja haibebisuzuki carry ndo jibu , chukua hyo! inakula mafuta kidogo sana na spares zake zipo nying sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabeba tani tano??? Au hujaelewa mada?suzuki carry ndo jibu , chukua hyo! inakula mafuta kidogo sana na spares zake zipo nying sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei zake zikojesuzuki carry ndo jibu , chukua hyo! inakula mafuta kidogo sana na spares zake zipo nying sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei zake mkuu ...hata kama inabeba tani 2 na nusu freshiHakuna gari ndogo ya kubeba tani 5 mkuu, labda uchkue kenta ya tani 3.5 ambayo sio ndogo ila inaeza beba hadi tani 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa hakuelewa tangazo vizuri.
Tafuta kirikuu au pick upNatafuta gari ndogo ya shughuri za shamba...kubeba mizigo hadi tani 5...ulaji mzuri Wa mafuta na uoatikanaji Wa spare...ushauri
carnte himself
Kirikuu ukipakia gunia 5 ya mahindi kinavuma hatari.Tafuta kirikuu au pick up
Nyagei
hajasema kubeba kwa Mara moja, yy kasema tani tano! hvyo akibeba kg 500 kwa tripu kumi zishafika tani tano
kwan wapi kasema hzo tani 5 zibebwe Mara moja?? si atakuwa anarudiarudia kubebaInabeba tani tano??? Au hujaelewa mada?
Basi anunue hata bajaji kama anarudiarudia kubeba.kwan wapi kasema hzo tani 5 zibebwe Mara moja?? si atakuwa anarudiarudia kubeba
Sent using Jamii Forums mobile app