Magari haya yako sokoni (Suzuki swift,Premio,Carina,KLuger,Pic kUp)

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
Magari yafatayo yako sokoni hapa na weka picha moja moja na bei kwa maelezo zaidi juu ya (millage,model,cc,colour,Transmission)

Nenda hapa kwenye Blog yetu mpya MAGARI au piga 0719539431(larson)

Suzuki swift
DSC00095.JPG
bei 8 million(maelewano yapo)

DSC00096.JPG
bei 15.5 million(maelewano yapo)

DSC00103.JPG
bei 27,000,000 Million(maelewano yapo)

DSC00108.JPG
bei 6 Million

DSC00116.JPG
bei 10.5 Milion(maelewano yapo)
 
Premio ni 3s D4 Ukitaka details na pic zaidi ingia hapa MAGARI afu bonyeza jina la premio utaona kila detail na picha
 
Hiyo premio ina tatizo gani?na vipi kuhusu injini yake ishashushwa mara ngapi na ni cc ngapi?
 
Hiyo premio ina tatizo gani?na vipi kuhusu injini yake ishashushwa mara ngapi na ni cc ngapi?
mwanagu gari haijawai shushwa engine ..Ngoja nikuambie ishu za magari zilivyo.Gari linaweza kuwa jipya lakini ukauza bei rahisi kutokana na muda uliofanya registration kama ulifanya registration mwaka juzi usitegeme kuza sawa na gari ulio fanyia registration mwaka huu ingawa zinaweza kuwa kwenye condition sawa.Hiyo premio ni Nzima kabisa engine yake haija wai shushwa pia registration yake namanisha plate namba ni A** gari yoyote yenye plate namba ina aza na A bei lazima iwe chini kwa sababu magari mapya ya saiv Zina kimbilia BQ* nina premio mbili moja ni BQ* inauzwa 7.5 hii hapo ni ya kitambo ndio mana ni 6m . kwa swala la usalama we njoo na fundi unae mwamini anakagua gari kila kona.PIa mi hizi ni biashara yangu siuzi magari mabovu. nimeifanya kwa muda sasa nimeona ngoja nijaribu kufind market online pia.KUONA DETAIL ZA HIYO PREMIO BONYEZA HAPA MAGARI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom