Habari wadau, Nahitaji kiwanja maeneo ya Goba, kiwe kikubwa wastani na kisiwe mbali na barabara ya Goba, kutembea kwa mguu sio zaidi ya dakika 15 kutoka stend/barabara kuu ya Goba. Dau langu ni 10m.
Habari wanajukwaa,
Mzani ni kama mpya umetumika kwa miezi 6 tu, unauwezo wa kupima kg500 kwa Mara moja, mzani upo Goba Dar es salaam, bei yake ni Tsh 650,000 tu
Kwa atakayehitaji anicheck kwa...
Habarini wadau
Nafuta vijana wa kiume au wa kike wanaoweza kufanya kazi ya mgahawa kuuza chips/mishikaki chakula kama wali/ugali kupika supu na chapati. Kama wapo na wanamtaji wanione pm kuna...
Kwa wenyeji wa Arusha na Moshi natafuta frem iliyokaa mahar pazur kwa ajil ya biashara ya nguo za mtumba pamoja na viatu yeyote mwenye access nayo ani pm wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
MAURICE EDUCATION ACADEMY inawasogezea huduma ya pre form one kwa miezi mitatu elfu arobaini tuu masomo yote ya msingi (basic studies) yatafundishwa . tupo mbagala mbande stendi OFA zitolewazo...
Habari zenu waungwana
Ninauza kiwanja changu kilichoko nje kidogo ya jiji la Tanga ukivuka tu mizani ya pongwe kijiji kinachofuatia kinaitwa KILAPULA, kina ukubwa wa 40/50 yaani upana 40. No...
Hello, jamani visheti vya Nazi hivyo
Kikopo 1000
(Delivery kuanzia vikopo 5 na unanichangia nusu ya nauli)
Jumla 800 kuanzia PC 30
Location Ubungo
Call 0714547830
invest what you are...
Pata genuine software ya Microsoft office 2016 kwa bei sawa na bure.
Pia pata installation ya genuine Microsoft windows 10, 7 ama 8 kwa bei sawa na bure.
Utapata software hizo kwa bei rahisi na...
Habari wana JF!
Kama heading inavyojielezea, leo nawaletea novels kuanzia bibliography za watu mbali mbali,drama mpaka fiction! Zinapatikana kwa muundo wa PDF na EPUB!! kwa wale ambao hawana EPUB...
Habari zenu wana JF
Nauza viti vilivyotumika. vimetumika miez 3. Ni vizuri kwa kukodisha kwenye shughuli kama harusi, mikutano, semina, misiba, nk. Vipo viti 200. Vinapatikana Iringa mjini. Bei...
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8...
Habari zenu,
Naomba kuuliza eti simu ya Android aina ya wiko jelly ni shiling ngapi bei yake kwa anaejua anisaidie.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pendeza kwa kuvaa viatu vikali vya mtumba kwa bei nafuu, jiunge kwenye group letu kupitia link hii hapo chini uweze kupata picha za kazi pindi tunapozipata
viatu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.