Habari wakuu,
Inatafutwa iphone mpya au used yenye condition nzuri.
Iwe kuanzia iphone six na kuendelea, storage size yoyote na muuzaji awe ndo mmiliki halisi wa hiyo simu (kwa uthibitisho)...
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu nauza simu ya Tecno Phantom six kwa sh 430000 ina miezi miwili tangu itoke dukani na warranty card yake ipo.Nimepata shida ya haraka ndo mana nimeona...
Jengo /frame za kisasa kubwa za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM laki 5 kwa mwezi kila moja. Lipo karibu na tawi la CRDB kijichi.
Jengo linafaha kwa shughuli za ofisi au biashara ambayo...
Kiwanja kinauza ukubwa sqm 4530 kipo maenoo ya mnara wa vodacom Mbezi Juu meta 30 kutoka Barbara ya lami inayoenda goba.bei 200 milioni mazungumzo yapo serious buyer only.contact 0756249110/0715249110
Wakuu habar zenu,,nina rafiki yangu ameniomba nimsaidie kutafuta pahala wanapouza au mtu anayeuza (used) macbook air zile mini af zinakuaga nyeupe, mimi kiukweli hata sijui pa kupatia cause hata...
wakuu leo nimebadilisha matairi manne Tubeless ya gari Langu 2001 Land cruiser Prado, bado yana hali nzuri sana na yanafaa kwenye Prado, Pajero etc yanayotumia (265/70 R16)..ni hayo manne kutoka...
Ndugu wanaJF, nahitaji kiwanja Mwanza kwa gharama isiyozidi million 2 kamili,kiwe tambarare, maeneo yaliyopimwa na karibu na huduma za maji na umeme kwa mwenye nacho ama mwenye taarifa...
Habari zenu wananzengo,
Ninauza magunia ya mahindi ya 100kg @100,000/= kama unahitaji kwa idadi utakayo naomba tuwasiliane tufanye biashara. Mzigo upo store wa kutosha.
Mawasiliano:
0625568600
Kiwanja kipo umbali wa mwendo wa dakika3 kutoka kituoni Magole.
Ukubwa wa eneo ni sqm400 ambalo lipo tambarale(bila kijimlima wala muinuko wa aina yoyote).
Bei ni milioni sita na makubaliano...
Habari za saa hizi great thinkers msaada tafadhali, nahitaji gari ya kukodi (self drive) Dar kwa muda wa siku 2 au 3 kuanzia tare 13 - 15 mwezi Ujao.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.