Weka no mkuuHabari za saa hizi great thinkers.
Msaada Tafadhali, nahitaji gari ya kukodi (self drive) Dar kwa muda wa siku 2 au 3 kuanzia tare 13 - 15 mwezi Ujao.
Asanteni.
Unahitaji gari aina gani?Habari za saa hizi great thinkers msaada tafadhali, nahitaji gari ya kukodi (self drive) Dar kwa muda wa siku 2 au 3 kuanzia tare 13 - 15 mwezi Ujao.
Asanteni.
Hahaha lolVipi ile Gari yako Xtrail ishajamba mpaka umeamua kukodi gari au zilikuwa ni fix tuu?