Matairi ya Gari

Matairi ya Gari

Brakelyn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,181
Reaction score
521
wakuu leo nimebadilisha matairi manne Tubeless ya gari Langu 2001 Land cruiser Prado, bado yana hali nzuri sana na yanafaa kwenye Prado, Pajero etc yanayotumia (265/70 R16)..ni hayo manne kutoka chini. hayo mawili ya juu yalitoka kwenye Suzuki Escudo (215/70 R16).

bei 100,000/= each..(negotiable) kwa matairi ya Prado na 60,000/= each kwa matairi ya Suzuki..
contacts: 0767-174757, 0716-904626
Arusha.

29y4nj9.jpg


102pmva.jpg


jsj0oz.jpg
 
Kwa nini ulibadili mkuu?
yametoka na gari Japan, limeingia tarehe 4 mwezi huu kwahiyo nimeamua kuyabadili nianze na matairi mapya kabisa. Tunaweza kuwasiliana uweze kuyaona..
 
we jamaa mbona unaweka matairi jikoni jirani na kabati la vyombo? jokes man, ni bei nzuri na matairi yanafaa kwa town trips i wish i could buy them but sina prado
 
we jamaa mbona unaweka matairi jikoni jirani na kabati la vyombo? jokes man, ni bei nzuri na matairi yanafaa kwa town trips i wish i could buy them but sina prado

Hapo sio jikoni kamanda, ni store sema hiyo kabati ina vyombo kwaajili ya wageni' si unajua tena.. Heheee
 
Back
Top Bottom