Mahindi yanauzwa

Mahindi yanauzwa

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Habari zenu wananzengo,

Ninauza magunia ya mahindi ya 100kg @100,000/= kama unahitaji kwa idadi utakayo naomba tuwasiliane tufanye biashara. Mzigo upo store wa kutosha.

Mawasiliano:

0625568600
 
Kwa bei hiyo ya 1 kg Tshs 1000 hupati wateja, Mahindi huku kwetu bei ikiwa kubwaaaaa 1 kg ni tshs700
 
Bado hayajafika hiyo bei mkuu....bei ya jumla masokoni kilo 550
 
Back
Top Bottom