Mimi ni mjasiriamali mjini Moshi. Nina akiba yangu ya fedha sh 3,000,000 nauliza kwa wajuzi je naweza kupata gari ndogo nzuri nadhifu ya kufanyia mizunguko yangu ambayo haijachakaa na kufunguliwa...
Pata asali mbichi ambayo haijachakachuliwa wala kuongezwa majii kuanzia robo lita paka lita 20 kwa bei nafuu kabisa tupo tegeta mbweni ila pia ukitaka tukuletee paka kwako baso tutakufanyia freee...
Maji yapo, umeme imeshalipiwa,bado kuingiza tu.
Nyumba IPO katika finishingi,wiring ya maji na umeme tayr,inafens na parking ndogo.
Vyumba vitatu vya kulala,stoo,,jiko,dining,longe, vyoo public...
Kichwa Cha habari Cha Usu.
NYUMBA inavyumba Vitatu Vya Kulala,Kimoja self.Hipo Eneo Safi Kabisa
BEI laki na 70.Kulipia ni Miezi 6
MAELEZO ZAIDI
Nicheck namba +255625676643
N.b
Hakuna ya Udalali...
Nauza simu tajwa hapo juu Simu ni mpya kabisa haina tatizo lolote sababu ya kuuza Simu iyo ninashida na hela bei Yake ni tsh 200,000/= na Simu ina kila kitu charger Yake original,kava,box lake na...
Habari za majukum wanajamvi,
Nauza shamba lenge ukubwa wa ekari 4 kwa thamani ya Tsh.5M lililopo Bagamyo katika kijiji cha kidomole.
Kwa anaehitaji aje pm tuyajenge au anicheck kwa. 0713201541
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.