Habari zenu wana jf. Naombeni msaada kwa yeyote anaejua ambako naweza kupata asali mbichi original. nipo mbeya. Nimekua nikitumia za supermarket lakini hazizai matunda.
Mimi nina biashara yangu ya asali mbichi kutoka tabora kwa yeyote mwenye uhitaji anitafute kupitia hii namba 0654553163 napatikana dar es salaam nauza kwa lita na jumla bei rahisi tu wasiliane.
Kutana na wauzaji pamoja na mafundi mahili wa kuweka tiles, marbles/granites.Ofisi zetu zina patikana Kinyerezi.Njoo upate ushauri pamoja na huduma kutoka Modesign Finishing Company.
Mawasiliano...
Habari!
Napenda kutoa fursa kwa yeyote ambaye ataweza kusupply mayai tray 150 kwa wiki.
Mazingatio ni kama ifuatavyo
1. Mayai yawe safi pia bila kupasuka.
2. Aweze kuyapack kwa ajili ya...
Jipatie earphone za kisasa kwa bei chee
Ni shilingi elfu 8 tu
Zina mziki mzuri na pia zina mic
Na zina waya ngumu sio rahis kukatika [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Nyingine hizi hapa
Kwa...
Ndugu zangu, kanisa limeanzishwa, waumini wamejichanga na mimi nimekabidhiwa fedha kwa ajili ya kununua Kinanda nauliza bei ya Kinanda 450 na 770 au zaidi tukikubaliana tufanye biashara.
Habari wana jf eneo lenye ukubwa wa heka 16 linauzwa, lipo sehemu nzuri na linafaa kwa matumizi mbalimbali lipo Pangawe Morogoro
Kwa yule atayehitaji tukutane PM
Single room kodi ya mwaka mabibo near Nit barabarani na rahisi kufika fense, maji na pasafi Panahitaji vijana wasio na familia hakuna kulipa pesa ya dalali. 60,000. PM
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.Nina gunia 50(hamsini) za mahindi ya njano aina ya CP 201 naomba kuzwa soko lake nitalipata wapi Kwa Dar es salaam au Tanga
Kuna kipindi kinafika humwamini kabisa muuzaji wa duka lako maana hesabu anayokuletea haiwiani na hali halisi ya biashara, Unakuta kila unapopitamaeneo ya dukani kwako wateja wamejaa lakini mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.