Nauza simu kwa bei nafuu

Nauza simu kwa bei nafuu

wenalitha

Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
60
Reaction score
50
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu nauza simu ya Tecno Phantom six kwa sh 430000 ina miezi miwili tangu itoke dukani na warranty card yake ipo.Nimepata shida ya haraka ndo mana nimeona niiuze.Ukiwa interested nifate pm.
 
300,000 ninayo nitafute pm
 
Bei hiyo napata matofari ya chumba kimoja, na dhamani inapanda sio kushuka, nakushauri warudishie dukani ulipo nunua waambie una dharura wakurudishie pesa zako uwape simu yao , si haujaitumia sana kama unavyo sema
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
300,000 ninayo nitafute pm
300000 siwezi ndugu yangu may be 380000 mwisho na bado nitakuwa nimeingia hasara kubwa cause risiti ipo warranty ipo inaonyesha ni mda gani since nimeinunua na nilinunua kiasi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom