Japan unapata hata kwa bei chini na hiyo,mwezi July nilikuwa natafuta Toyota Crown Royal,nimezunguka showroom za dar bei juu,kwa madalali Kinondoni,Magomeni na Mlimani City ndio usiseme,nikaamua kuagiza SBT Japan tu nikapata kwa USD 2100 CIF with Inspection,mpaka naitoa bandarini hata ml.12 haikufika